Rais Magufuli amesaini miswada minne na kuwa sheria rasmi, miswada hiyo ilipitishwa na Bunge kupitia mkutano wake wa 16 uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu.

Sheria zilizopitishwa ni pamoja na Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019