Habari Mazishi ya Rais Mstaafu Robert Mugabe Kufanyika Septemba 15 Date: September 9, 2019Author: Mbukuzi blog 0 Comments Mwili wa Rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuzikwa Jumapili, Septemba 15. Rais Mugabe alifariki dunia Septemba 6 huko nchini Singapore alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi Aprili, 2019. Rate this:Share this on:WhatsAppTweetMoreShare on TumblrLike this:Like Loading... Related