Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe.Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la SUGU, leo Agosti 31, 2019 amefunga ndoa na Happiness Msonga katika Kanisa la Katoliki Ruanda, jijini Mbeya.