Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametangaza kuwa sikukuu ya Idd El-Adh’haa itakuwa siku ya Jumatatu, August 12,2019, Swala ya Eid Kitaifa itaswaliwa viwanja vya Masjid Kibadeni,Chanika,Jijini DSM ikifuatiwa na Baraza la Eid katika viwanja hivyohivyo.