Leo Jumatano May 8, 2019, Askofu Gwajima ameita waandishi wa habari kuongelea video ya ngono inayosambaa mitandaoni. Gwajima amekana kuhuika na video hiyo. Amesema imetengenezwa kwa lengo la kumchafua.
Katika mkutano huo, mke wa Gwajima alipata nafasi ya kuongea yafuatayo:“Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye, nitasimama na yeye na Mungu akiwa upande wetu hakuna atakayeweza kuwa juu yetu”
Msikilize hapo chini
Advertisements