Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Ijumaa Februari Mosi, 2019 ameteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Rais Kagame amechukuwa nafasi ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aliyemaliza muda wake.

Akizungumza leo jioni baada ya kutangazwa kwake katika mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya hiyo unaofanyika jijini Arusha nchini Tanzania, Kagame amesema ataitumikia vyema jumuiya hiyo.

Advertisements