Baada ya vuta ni nikuvute iliyotokea hivi karibuni, Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limeeleza kuwa lina mahusiano mazuri na wasanii wa WCB.

Akizungumza na Wasafi TV ofisini kwake, Katibu wa Basata, Godfrey Mngereza amesema kuwa wanaendelea vizuri na wasanii wa WCB kuna baadhi ya nyimbo wamepeleka mashairi yake kukaguliwa kabla ya kutoka.
==>>Msikilize hapo chini

Advertisements