Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameitikia wito wa Spika wa Bunge Job Ndugai kumtaka afike kwenye Kamati ya Haki,Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge.
Profesa Assad tayari yupo mbele ya Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge muda huu kwaajili ya kuhojiwa
Advertisements