Milipuko na Milio ya risasi vimesikika kwenye eneo la Riverside Nairobi, Kenya ambalo linazungukwa na Ofisi mbalimbali na Hoteli ya DusitD2 ambapo Citizen TV wametipoti kwamba inahisiwa linaweza kuwa shambulio la Kigaidi.
Mkuu wa polisi wa uchunguzi wa jinai Bw George Kinoti ni miongoni mwa maafisa wakuu wa polisi waliofika kuratibu operesheni ya kuokoa watu waliokwama ndani.
Tunaendelea kufatilia zaidi.
Advertisements