Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Bibi Notburga Ivo Mbepera wakati walipokutana na kuzungumza mjini Songea hivi karibuni. Mwalimu huyo alimfundisha Waziri Mkuu katika Shule ya Msingi ya Mnacho wilayani Ruangwa 1973 – 1980.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)