Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amekutana na balozi wa Tanzania nchini Comoro.

Katika hafla hiyo Diamond alikuwa ameongozana na mpenzi wake kutoka nchini Kenya, Tanasha.
“Earlier today when i visited the Tanzanian Embassy in Comoros,” ameandika Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Advertisements