Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh Milioni 1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.
Sugu ametoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa lengo kubwa la picha hiyo ni kutumika kama Cover ya kitabu chake kipya cha ‘SIASA NA MAISHA’ .
Advertisements