Video vixen Kimnana ni mrembo anayedaiwa kutoka kimapenzi kwa sasa na Rais wa WCB, Diamond Platnumz ingiwa hakuna aliyewahi kuthibitisha hilo.
Wawili hao wameonekana kuwa karibu zaidi siku za usoni baada ya wiki iliyopita kuonekana wakila bata kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond iliyofanya kwenye Yatch.
Jumapili hii pia kuna video ambayo inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Diamond akishikwa shikwa ndevu na mwanadada ambaye anadhaniwa kuwa huwenda akawa ni Kim.
Angalia picha za muonekano wa mrembo huyo.
Advertisements