Soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. 

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana ambaye yupo eneo la tukio amesema mpaka inafikia saa mbili asubuhi walikuwa wamezima moto huo kwa asilimia 90.


Chanzo cha moto huo bado hakujajulikana 

Advertisements