Mwanadada Gigy Money ambae kila siku huwa huwa haishiwi vituko amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya sasa anatamani sana kuzaa na msanii Diamond Platnumz au Idriss Sultan kwa kuwa ni wanaume warefu na yeye anependa wanaume warefu, hivyo anaamini akizaa nao atapata watoto wazuri zaidi.
Gigy amefunguka hayo katika interview ya kipindi cha The Play List kinachorushwa na TimesFM
“Natamnai kupata mtoto na Idris na Diamond kwa sababu naamini mtoto atakuwa mzuri kweli kweli , mimi ninapenda sana wanaume warefu kwakweli .Lakini pia siwezi kuwa kwenye mahusiano na Nay wa mitego.”
Advertisements