Mwanadada Wolper amemjibu msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya wanaume aliowahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni ndogo sana.
Wolper anasema kuwa kuna baadhi ya watu Harmonize amewasahau na kwake anaona kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa nao kabla ya kwake yeye , lakini pia wolper amemjibu kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao amewaweka kimakosa, kwaio kama anataka ni bora amfate mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.
“Mwanaume eeh mwanaume eeh hivi ule wimbo walioimba ni TMK, Embu tushushe mistari kidogo, ya ile nyimbo ya wanaume eeh #listndogosanaumenionea #alafukunawengineumekosea #njoodmnikupewaukweli #basiyulewanyumanikajuanimmasaikumbemzungu.

Advertisements