Tunashukuru kwa kututembelea(mbukuzi blog) tunakuahidi hatutakuangusha tutakupa habari zote kila siku tutembelee kwa kuandika MBUKUZI BLOG..endelea kusoma hapo chini.

Msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia sehemu kubwa ya mwili wake live wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
Picha na kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Wowowo ukipigwa

==>Tazama picha

 

 

PATA HABARI KABLA HAIJACHUJA KWA KUTEMBELEA mbukuzihuru.com (MBUKUZI BLOG) AU LIKE PAGE YETU HAPA >>https://web.facebook.com/mbukuzihuru/