MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka kando.

Akizungumza na Full Shangwe, Ebitoke alisema hajawahi kuachana na Ben Pol ila alipoona yuko kimya na yeye akaamua kukomaa na mishe zake.

“Hatujawahi kuachana na Ben Pol, niliona yuko kimya na mimi ikabidi nikomae na mishemishe zangu, ila sisi bado ni washkaji ,” alisema Ebitoke.

Advertisements